Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MADHARA YATOKANAYO NA KUFANYA MAPENZI NA CONDOM










Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uk*e na u*me kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia s*x toys, dildo(vibrant artificial pen!s zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uch**i,
Kusahausahau,
Kupendelea story za map#nzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI NA CONDOM

  • kwanza kabisa ni hali yakuweza kutomfikisha mwenza ako kileleni kwamda uliotegemea,kwa maana condom hupunguza radha ya liletendo na hii husababisha hamu yatendo kwa mmoja wapo kukosekana na kusababisha kutofika kwenye hali yakuridhishwa na mwenza wake
  • pili condom hua inamafuta mafuta ndani yake ilikuiweka katika hali ya ulaini,haya mafuta yanapomuingia mwanamke katika tend la ndoa husababisha maumivu makali ya tumbo haswa chini ya kitova mara baada ya kumaliza tendo hilo
  • pia husababisha hali ya kuhisi kutokua na hamu punde mwenza wako anapokojoa kwa mara ya kwanza au ya pili au tatu
  • kujaa kwa uchafu katika kiungocha mwanaume maana anapokua katika tendo na akakojoa basi ule uchafu wote hubaki katika condom na hii husababisha kurudi ndani kiasi kidogo cha uchafu ule
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top