Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HAYA NDIO MANENO YALIOSEMWA NA AUNT EZEKIEL



STAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe.

Aunt amesema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima katika mchezo kuna upande utashinda na mwingine utashindwa hivyo atakubali yote.

“Ninachojua mwisho wa siku lazima kuna mshindi na mshindwa hivyo nakubali yote kwa sababu nampenda Lowassa na sijawahi kutamka kuwa mimi ni CCM kwa kuwa sijazaliwa kwenye chama hicho, nimezaliwa kijijini kwetu Kisarawe  "alisema Aunt kwa jazba.

WANAJESHI WAUWAWA KIKATILI {BONYEZA PICHA KUONA YALIOTOKEA]

Askari walioripotiwa kuuawa ni wawili na Pia, askari 13 wa jeshi hilo wameripotiwa kujeruhiwa na wengine wanne hawajulikani walipo.
Askari hao wanadaiwa kukumbwa na mkasa huo katika shambulio la kushtukiza lililofanywa na wanaodhaniwa kuwa waasi wa kikundi cha Allied Democratic Forces (ADF) katika eneo la Beni, lililoko katika Jimbo la Kivu Kaskazini, Mashariki mwa nchi hiyo.
Shambulio hilo lilitokea wakati timu ya wanajeshi hao wa  Monusco ilipokuwa kwenye msafara wa ulinzi kwa raia kama mamlaka yao yalivyo.
Hata hivyo, hadi tunakwenda mitamboni, mamlaka za Tanzania hazikuwa tayari kuthibitisha taarifa hizo, ingawa Umoja wa Mataifa (UN) ulizithibitisha.  
 Askari wa JWTZ wakiwa kwenye mazoezi
BAN KI-MOON
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Katibu Mkuu wa UN, na kupatikana jijini Dar es Salaam kupitia kwa Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja huo (UNIC), Stella Vuzo, Katibu Mkuu wa UN Ban-Ki- Moon, alilaani vikali mauaji dhidi ya askari hao.
Kadhalika mkuu huyo wa UN alilaani unyama unaendelea kufanywa na kundi hilo dhidi ya raia maskini wasio na uwezo wa kujilinda katika eneo la Beni.
“UN inabaki imara kuchukua hatua zote stahiki kwa mujibu wa kifungu namba 2211 cha mwaka 2015 kuwalinda raia na kuyasambaratisha makundi yote yenye silaha katika eneo hilo la Mashariki mwa DRC,” alisema.
Alituma salamu za rambirambi kwa familia za askari waliopoteza maisha yao na wengine walioathirika na kwa serikali ya Tanzania.
Tukio hilo linafuatia lingine lililotokea Mei 4, mwaka huu, wakati helikopta iliyokuwa imembeba Kamanda wa Operesheni za Monusco huko DRC iliposhambuliwa na makundi yenye silaha yasiyofahamika. 
WAZIRI MWINYI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi, alipoulizwa na NIPASHE jana, alimtaka mwandishi kuwasiliana na makao makuu ya JWTZ, akisema ndiyo wenye taarifa za kina kuhusiana na suala hilo.
“Naomba upige (simu) makao makuu ya Jeshi, wao ndio wenye details (taarifa). Hata mimi nahitaji kutoka kwao,” alisema Dk. Mwinyi.
MSEMAJI WA JWTZ
Hata hivyo, Msemaji wa JWTZ, Meja Joseph Masanja, alipotakiwa na NIPASHE kuelezea tukio hilo, alisema kwa jana hakuwa na taarifa zozote za kuuarifu umma kuhusiana na suala hilo.
“Nipe muda nifanyie kazi, kama lipo tutaelezana,” alisema Meja Masanja.
Alisema atakuwa katika nafasi ya kuzungumzia suala hilo leo baada ya kupata taarifa kamili.
ASKARI WALIOKWISHAUAWA DRC
Hao wanakuwa maofisa wanne wa JWTZ walioko Monusco kuuawa DRC, baada ya maofisa wengine wawili kuuawa nchini humo. 
Ofisa wa kwanza wa cheo cha meja aliripotiwa kuuawa kwa bomu lililorushwa na waasi wa vuguvugu wa M 23 katika mapigano makali yaliyotokea katika mji wa Goma, Agosti 28, mwaka jana.
Meja huyo, Khatibu Shabaab Mshindo, aliuawa baada ya kujeruhiwa na bomu hilo akiwa kazini na akavuja damu nyingi wakati akikimbizwa hospitali na kusababisha kifo chake.
Wakati Mshindo aliyekuwa miongoni mwa askari wa Tanzania wanaounda Monuco akifikwa na mauti, wapiganaji wengine 10 walijeruhiwa.
Askari  mwingine wa JWTZ mwenye cheo cha luteni aliyekuwa akishiriki katika kikosi hicho aliuawa wakati wa mapigano na waasi hao. 
Iliripotiwa kuwa, askari huyo alipigwa risasi ya kichwa na kufariki papo hapo.
Habari hizo zilieleza kuwa, mbali na kuuawa kwa mwanajeshi huyo, waasi wa M23 nao wengi waliuawa na wengine wengi walijeruhiwa.
Kuuawa kwa askari huyo kulitokea siku 47 tu tangu kuuawa kwa askari saba wa Tanzania waliokuwa wakilinda amani katika Jimbo la Darfur, nchini Sudan na kikundi cha wanamgambo wa Janjaweed.

Chanzo Nipashe

GWAJIMA ATOA TAMKO LINALO MUHUSU LOWASA





ilikua jana majira ya jioni katika mkutano ambapo mheshimiwa huyo alipopewa nafasi ya kutoa neno ndipo alisema yafuatayo,kwanza napenda kuwashukuru nyinyi nyote mlioweza kufanikisha shughuli hii napia kumshukuru MUNGU kwa kuweza kutupa nafasi kama hii yakua pamoja

TAMKO
ndipo kiongozi huyo wa dini akatoa taamko linalomuhusu lowasa nakusema kwamba kama unaona humpendi lowasa basi wewe kale malimao,kauli hiyo ilitolewa na kiongozi huyo wakati alipopewa nafasi ya kutoa neno,

hata hivo kauli hiyo ilipokelewa kwa shangwe na vijana pamoja na watu wengine wote waliokua katika mkutano huo nakuwaacha watu hoi,maana kwa kawaida kula limao sio kitu cha rahisi kama kunywa juice,

swali linabaki kwawasio mpenda jeee nikweli wataweza kuyapiga malimao???






Image result for gwajima

SIRI YA FICHUKA KIFO CHA MICHAEL JACKSON [HIDDEN SECRET ABOUT MICHAEL JACKSON DEALTH IS HERE,JUST CLICK PICTURE TO SEE]



Singer-songwriter Michael Jackson's award-winning career as the King of Pop transformed the face of pop music and popular culture. He released the best-selling album in history, Thriller, in 1982. He died unexpectedly in 2009.










Synopsis

Dubbed the "King of Pop," singer-songwriter Michael Jackson was born in Gary, Indiana, on August 29, 1958. As a child, he performed as the lead singer of the Jackson family's popular Motown group, the Jackson 5. Jackson went on to become one of the most internationally famous award-winning solo pop sensations to date. Jackson's 2009 death stirred controversy and was ultimately ruled a homicide. Dr. Conrad Murray, who had been caring for the pop star at the time of his death, was convicted of involuntary manslaughter on November 7, 2011, later receiving a four-year prison sentence.

Early Life

Michael Joseph Jackson was born on August 29, 1958, in Gary, Indiana, to an African-American working-class family. His father, Joseph Jackson, had been a guitarist but had put aside his musical aspirations to provide for his family as a crane operator. Believing his sons had talent, he molded them into a musical group in the early 1960s. At first, the Jackson Family performers consisted of Michael's older brothers, Tito, Jermaine and Jackie. Michael joined his siblings when he was 5 years old, and emerged as the group's lead vocalist. He showed remarkable range and depth for such a young performer, impressing audiences with his ability to convey complex emotions. Older brother Marlon also became a member of the group, which evolved into the Jackson 5.
Behind the scenes, Joseph Jackson pushed his sons to succeed. He was also reportedly known to become violent with them. Michael and his brothers spent endless hours rehearsing and polishing up their act. At first, the Jackson 5 played local gigs and built a strong following. They recorded one single on their own, "Big Boy" with the b-side "You've Changed," but it failed to generate much interest.

The Jackson 5 moved on to working an opening act for such R&B artists as Gladys Knight and the Pips, James Brown, and Sam and Dave. Many of these performers were signed to the legendary Motown record label, and it has been reported that Gladys Knight may have been the one to tell Motown founder Berry Gordy about the Jackson 5. Impressed by the group, Gordy signed them to his label in 1968.
Relocating to Los Angeles, Michael and his brothers started work on their music and dancing with their father as their manager. They lived with Gordy and also with Supremes singer Diana Ross when they first arrived there. In August 1969, the Jackson 5 was introduced to the music industry at a special event, and later served as the opening act for the Supremes. Their first album, Diana Ross Presents the Jackson 5, hit the charts in December of that year. It's first single, "I Want You Back," hit No. 1 on the Billboard Hot 100 chart in January 1970. More chart-topping singles quickly followed, such as "ABC," "The Love You Save" and "I'll Be There."

KITAMBI KINAVYOWEZA KUSABABISHA MAGONJWA

LEO tunaelezea madhara ya kitambi na tutafafanua jinsi mafuta yanavyozidi mwilini na kuathiri ini pia tutaeleza tiba yake, endelea:
Utambuzi wa steatosisi hufanywa wakati mafuta yaliyo kwenye ini yanazidi asilimia 5 hadi 10 kwa uzito.
Kuwa na mafuta kwenye ini ni tatizo au linaweza kuchukuliwa kama ugonjwa mmoja ambao hutokea kwa wale hasa wanaokunywa pombe kupita kiasi.
Tatizo hili licha ya kusababisha unene pia linahusishwa na magonjwa mengine ambayo huathiri umetaboli wa mafuta.Kimofolojia, ni vigumu kutofautisha kati ya FLD inayohusishwa na pombe na ile isiyohusishwa na pombe na aina zote mbili huonyesha mabadiliko ya vilengelenge vidogo na vikubwa vya mafuta katika hatua mbalimbali.
Tatizo hili la mafuta kukusanyika kwenye ini kunaweza kukasababisha kuvimba kwa ini (hepataitisi), tatizo liitwalo kitaalamu steatohepataitisi.Kwa kuzingatia mchango na pombe, ukusanyikaji wa mafuta kwenye ini unaweza kuitwa steatosisi ya pombe au ugonjwa wa ini kuwa na mafuta usiohusiana na pombe (NAFLD).
Licha ya unene kupindukia kusababisha mafuta kujaa kwenye ini, ukusanyikaji wa mafuta kwenye sehemu hiyo (ini) huhusishwa na pombe au tatizo la ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu.Lakini pia sababu za lishe kama vile utapiamlo, kupoteza uzito sana, matatizo yanayotokana na kula baada ya kukaa kwa muda mrefu bila chakula, ukwepaji wa ufyonzaji wa chakula katika matumbo, ni sababu nyingine za ugonjwa huu.
Ini lililovimba sana na lenye kiwango cha juu cha steatosisi mara nyingi huendelea hadi kwenye aina kali zaidi ya ugonjwa huu.Tiba na ushauriMatibabu ya mtu aliye na mafuta kwenye ini yanategemea na kilichosababisha athari hiyo.
Watu waepuke kunywa pombe kupita kiasi japokuwa  matukio ya saratani ya ini katika FLD isiyosababishwa na pombe bado hayajahesabiwa, lakini uhusiano uliopo ni dhahiri kwamba ni tatizo.Asilimia 75 ya watu walio na unene wa kupindukia hukumbwa na tatizo hili ingawa hakuna ushahidi wa matumizi ya pombe kupita kiasi kwamba kunasababisha maradhi haya

VANESSA MDEE AFUNGUKA

Tarehe May 15, 2015
Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Vanessa Mdee ‘Vee Money’
Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Vanessa Mdee ‘Vee Money’
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Vanessa Mdee amekiri kuachana na utangazaji na kuwekeza nguvu zake katika muziki ikiwa ni jibu ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake baada ya kuulizwa sana swali hilo.
Amesema kuwa kutokana na kasi ya ukuaji wa muziki hana budi kuachana na utangazaji na kujikita katika muziki kwani muziki unahitaji muda na utulivu ili kuweza kufanya vizuri.
Ameendelea kufunguka zaidi kuwa kwa sasa ana shoo nyingi nje ya Dar es Salaam na kutengeneza video nyingi nje ya nchi, hivyo aliona ni bora kuachana na utangazaji ili asiwakwaze wakubwa wake wa kazi.

Kigogo wa CCM Akutwa na Fuvu la Albino Pamoja na Viungo vya Mikono na Miguu

Jeshi la polisi Mkoani Simiyu linamshikilia Chigila Gilala mkazi wa kijiji cha Bukigi kata ya Malampaka wilayani Maswa (45) kwa kosa la kukutwa na viungo zinavyodhaniwa kuwa vya binadamu likiwemo fuvu la kichwa.

Mtuhumiwa huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM katika kijiji hicho na Mganga wa tiba asili alikamatwa nyumbani kwake, baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa- alikuwa amewahifadhi majambazi kwa ajili kugangwa (kuzindikwa).

-Akitoa taarifa kwa waandishi wa kamanda wa -jeshi la polisi Mkoani Simiyu Gemini Mushy alieleza kuwa tukio hilo la kukamatwa kwa mwenyekiti huyo lilitokea Mei 9 mwaka huu -majira ya saa 11 jioni katika kijiji hicho.

Kamanda Mushy alisema kuwa askari wakiongozwa na mkuu wa upelelezi katika wilaya ya Maswa walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuwepo kwa majambazi nyumbani kwa mganga huyo, kuwa alikuwa amewahifadhi kwa ajili ya kuwazindika.

Alisema baada ya kupata taarifa hizo walifanya msako nyumbani kwa mwenyekiti huyo, ambapo- alibainisha kuwa walianza kufanya upekuzi ndani na nje ya nyumba.

“Wakati wakifanya upekuzi huo walikutana na mfuko wa sandarusi ukiwa chini ya lundo la kuni nje ya nyumba- ya mwenyekiti huyo..na katika mfuko huo kulipatikana fuvu la kichwa pamoja na mifupa ya mikono au miguu vinavyodhaniwa kuwa ni viungo vya binadamu” Alisema Mushy.

Kamanda alieleza kuwa jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi kama kweli viungo hivyo ni vya binadamu na kama anahusika na uwepo wa viungo hivyo kutokana na -kukutwa nje ya nyumba yake.


Wakati huo huo kamanda Mushy alibainisha kuwa jeshi hilo linamshikilia- Gandula Mashimo mkazi wa kijiji cha Longalombogo kata ya Migato wilaya ya Itilima Mkoani hapa kwa kukutwa na Bunduki ya kivita SMG na risasi 273.

Alisema kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa juzi majira ya saa 3:30 usiku kijijini hapo, akiwa embeba siraha hiyo pamoja na risasi katika mfuko wa sandarusi.

Alisema mtuhumiwa alikamatwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa jeshi la polisi wilayani humo, ambapo alikamatwa akiwa njiani kuelekea kusikojulikana.

-
Mushy alieleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini washirika wake, ikiwemo na matumizi ya silaha hiyo, huku akitoa wito kwa wananchi mkoani hapa kutoa taarifa za watu wanaowahisi kuwa siyo wema katika maeneo yao.

Aidha alitoa onyo kwa ambaye anamiliki silaha bila kibali rasmi, kuwa ajisalimishe pamoja na silaha yake mara moja kabla ya msako mkali kuanza.

KURUDI KWA POPOBAWA KWATISHIA AMANI


  


hii imeripotiwa usiku wa kuamkia leo katika maeneo mbalimbali ndani ya nchi ikiwemo DAR,ARUSHA MWANZA KIGOMA,BAGAMOYO,,na sehemu nyingine nyingi zaendelea kuripotiwa kutokea kwa tukio hili usiku wa leo


katika maeneo ya dar imeripotiwa katika mitaa ya kariakoo na kijana mmoja ambae alisema alipokua usiku usingizini alisikia sauti kama inamuita,lakini chakushangaza sauti hio ilimfanya awe katika hali yakutoweza kufanya lolote nakujikuta akidondokea katika usingizi mzitoo na aripoamka asubuhi alikuta sehemu zake nyrti hazipo sawa,popobawahuyo alitoa masharti kadhaa yakiwamo,kwa mtu atakaemtembelea usiku na kulala nae itampasa kufanya yafuatayo,kupiga simu kwa namba zote zilizokua katika simu yake nakuwapa taarifa juu ya tukio alilofanyiwa,pili kutembea mtupu nyumba tano za jirani ambapo unapoishi nakujitangaza kama umelala nae,usipofanya hivo nikwamba itabidi usiku akutembelee tena.

katika majiji mengine imeripotiwa wanawake wanne nao wamepatwa na mkasa huohuo,na chakushangaza nikwamba alikua ajipishana dakika kama kumi kwa kila mkoa aliotembelea,na kila alipopita aliacha masharti hayohayo


BINADAMU WAKWANZA ALIEGUNDULIKA KUZALIWA NA MKIA APATIKANA

hii imetokea nchini katika mtaa mmoja ambapo bwana huyo nimzaliwa wa hilo eneo kwa takribani miaka 35,,il onekana mara ya kwanza kama ni kiuvimbe ambacho kilikaa kwa mda mrefu katika maisha yake,lakini katika siku moja,uvimbe huo ulipasuka na kutoa kitu kama kamba.Lakini cha kushangaza ni kwamba kadri siku zillivokua zinaenda ulizidi kukua kwa spidi ambapo ndani ya mda mchache ulifikia urefu mkubwa wa kutisha.hili tukio pia lishawai kutoke nchini India.

Chandre Oraon shows his tail at his house in Jalpaiguri, India
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top