Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ANOTHER AIR PLANE HAS CRASH,HERE IS THE VIDEO

Footage from cockpit cameras in the Hawker Hunter jet which crashed during the Shoreham airshow has revealed that the aircraft "appeared to be responding to the pilot's control inputs".
An initial report by the Air Accidents Investigation Branch found there were "no abnormal indications" during the flight.
The AAIB published an interim report after 11 men were killed when the Hawker Hunter plummeted onto the A27 in one of Britain's worst air show disasters.
Investigators seeking to find out what caused the crash have been examining the plane wreckage after it was sent to Farnborough, Hampshire, for analysis.

The AAIB report also disclosed that investigators are looking into whether the pilot, Andy Hill, "attempted to initiate ejection", because the aircraft's canopy had been released.
It was unclear whether the canopy had been jettisoned by the pilot or detached in the impact, it added.
"During the initial part of the impact sequence the jettisonable aircraft canopy was released, landing in a tree close to the main aircraft wreckage," said the seven-page report.
"During the latter part of the impact sequence, both the pilot and his seat were thrown clear from the cockpit.
"The pilot sustained serious injuries.
"The investigation continues to determine if the pilot attempted to initiate ejection or if the canopy and pilot’s seat were liberated as a result of impact damage to the cockpit."
The AAIB disclosed there were two "image recording cameras" mounted within the Hawker Hunter's cockpit.
One was located between the two seats, giving a partial view of the pilot and instrument panel, as well as a view through the cockpit canopy and windscreen.
The report stated: "To date no abnormal indications have been identified.
"Throughout the flight, the aircraft appeared to be responding to the pilot's control inputs."
The other camera was mounted at the base of the windscreen looking over the nose.
Investigators have received a "large amount" of video and photographs of the aircraft from various locations around Shoreham Airport, where the airshow was taking place, the report said.
Many of these are in high definition are will be analysed in a bid to determine the jet's manoeuvres, including flight path and speed.
The AAIB said the pilot carried out a pre-flight inspection before taking off from North Weald Airfield, Essex, to fly to Shoreham and there were "no reported defects".
The document added: "The pilot was described as being in good spirits and looking forward to the flight."
The final victim was named earlier this week as pensioner Graham Mallinson when the inquest was opened and adjourned by West Sussex senior coroner Penelope Schofield.
Some families of those who died attended the hearing at County Hall North, in Horsham, at which all the victims' names were officially confirmed before a minute's silence.
The inquest was adjourned to a date yet to be fixed. A pre-inquest review will be held on March 22 and Ms Schofield said she would provisionally set the full inquest into all the deaths next June, ahead of the first anniversary of the disaster

Alert!!!! Better safe than having to cure!!! Read carefully [click picture to view]


ALERTA!!!!
Mejor prevenir que tener que curar!!!
LEAN ATENTAMENTE... LES PIDO CON TODO MI CORAZÓN QUE COMPARTAN ESTO QUE PARA MUCHOS ES UN HÁBITO. ESTE ARTICULO QUE INFORMA DE LOS RIESGOS. TRATA QUE TU MURO TAMBIÉN DIFUNDA PREVENCIÓN…

Una pareja perdió su hijo de 25 años en un incendio en su casa el 4 de junio. El hijo que se había graduado de MBA de la Universidad de Wisconsin-Madison dos semana...See More
Alert!!!!
Better safe than having to cure!!!
Read carefully... I ask you with all my heart to share this that for many, it is a habit. This article to inform you of the risks. Is that your wall also spread prevention...

A couple lost his 25-Year-old son in a fire in her home on June 4 th. The son who had graduate mba from the university of Wisconsin-Madison two weeks before, had returned home for a while. Had lunch with her father at home and decided to go back to clean his room in the hostel. His Father told him to wait, to meet with his mother, before going back for a few days. He decided to take a nap while he was waiting for his mother to come home from work. Some time later, the neighbors called 911 when they saw black smoke coming out of the house.
Unfortunately, the 25-Year-old died. It took them several days of research to the surveyors find out the cause of the fire. It was determined that the fire was caused by the laptop resting on the bed. When the fan of refrigeration of the laptop that was on her bed she did not get the air is sucked in to cool the team, caused the fire. Could not even get up to get out of bed because he died for inhaling carbon monoxide.
The reason I am writing this, is for you to all of you who have seen many people in their laptop while they are in the bed can also share. Let us all decide and make a practice not to do that. The risk is real. Let us go on the voice of not to use the laptops in bed with blankets and pillows around. - I am technician of computers and affirm that the risk is real!


MTOTO ALIEBADILIKA KUA NYOKA

Ni mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu ambae aliwashangaza watu wengi kwa yaliompata, ,hii imetokea katika nchi ya india ambapo mtoto huyo ambae huzoea kulala mida ya mchana  siku hiyo hali ilikua tofauti kidogo,.

wazazi wake walikua wakiendelea nashughuli za kila siku na ndipo mtoto huyo akaingia kitandani na kuuchapa usingizi,iliwashangaza wazazi kuona mtoto wao akilala mda mrefu kuliko siku nyingine zote na ndipo walipoamua kwenda kumgusa.walipofungua shuka walikutamwnao amekwisha badilika nakua kiumbe kingine cha ajabu

mama wa mtoto huyo alipiga kelele zakuwashtua  majirani nkusababisha kufurika kwa watu ktika eneo hilo,chanzo cha matatizo hayo yanaripotiwa na marafiki mtoto huyo ambao walisema kwamba  kwa siku nyingi walikua wakimuona mwenzao kibadilika tabia na kuanza kujishirikisha na mambo yakishirikina.

hali inatisha sana maana watoto wengi wamejikuta wakishiriki bila kujuakatika hayo mambo nakusababisha baadae kupata matokeo ambayo hawakuyatarajia,mpaka sasa inaripotiwa watoto zaidi ya kumi na mbili wameripotiwa kugeuka viumbe wa ajabu


KIGOGO ANASWA NA KABINTI CHA SHULE [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]



PIA KATIKA HABARI NYINGINE ZAKUFUMANIWA NI PAMOJA YA HUYU KIGOGO MWINGINE ALIENASWA LIVE GESTI AKIWANA DENTI,CHEKI VIDEO UJIONEE MWENYEWE

hii imetokea uiku wakuamkia leo ambapo kigogo huyo alikuakatika
hiyo gesti,lakini waaanadihi wapaparazi wanaripoti kua kabla yakufika katika hiyo geti alikua akionekana katika mgahawa mmoja maarafu unaosifika

lakini mda sii punde ndipo alipoonekana mishale ya saa nne usiku akichomoka nakuelekea katika moja ya geti kubwa ambapo kabinti hako kalionekana kutangulia kabla ya yeye kufika,hapo ndipo fumanizi lilipoanziiia

MCHUNGAJI ALIYEWALISHA WAUMINI NYOKA [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]









YALIOMKUTA MSANII WA BONGO MOVIE [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]




Msanii huyo ambae kwa mda mrefu alikua akitumia vidonge hivyo vya kuongeza makalio kwa mda mrefu,sasa hivi haliyake si nzuri maana imeonekana kwamba vidonge alivovitumia hivi sasa ni tofauti na vile vya mwanzo yani ni feki,na hadi hivi sasa vimemletea madhara kubwa sana.mpaka sasa yupo bado  hospitali kwa matibabu .

Msanii huyo ambae ni alikua akifanya maigizo mbalimbali nchini hivi sasa yupo hoi sana katika hospitali moja huko south AFRICA,


MADHARA YA VIDONGE HIVYO

  1. Watu wengi hupenda kutumia vidonge hivyo wakizani ni fashion lakini vina adhiri sana mfumo wa ndani wamwili
  2. pia huaribu mfumo wa akili maana vidonge hivyo huleta uchovu kwa mtumiaji
  3. husababisha kutokea kwa vitobo sehemu kubwa ya mwili na hali hiyo ikiendeleea husababisha kuoza kwa sehemu hizo

Mtandao wa rushwa mahakamani huu hapa [click picture to view the news]

Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Othman Chande
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Othman Chande akikagua gwaride wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria nchini yaliyofanyika Dar es Salaam, mwaka huu. Picha ya Mtandao 
Dar es Salaam. Mahakama ni chombo kilichoanzishwa, kwa mujibu wa Katiba na chenye mamlaka kisheria ya kutoa haki katika jamii kuhusu mashauri mbalimbali ya kijinai, mauaji au madai ili mkosaji aadhibiwe na asiye na hatia aachiwe.
Katiba imeruhusu kuanzishwa kwa mahakama katika ngazi mbalimbali kuanzia mwanzo, wilaya, mkoa, mahakama kuu na rufani. Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na Mwananchi umebaini kwamba katika baadhi ya mahakama za mwanzo za jijini Dar es Salaam kuna mitandao ya rushwa inayoshirikisha wanasheria feki, polisi na mahakimu kukosesha haki.
Mitandao hiyo inaathiri utoaji hukumu, inachangia kuchelewesha kesi kwa makusudi, ulaghai katika kuwatoa watuhumiwa waliopo mahabusu, rushwa ili dhamana itolewe na kulazimishwa kumaliza kesi kabla ya hukumu. Baadhi ya watu wanaoonekana kuwa wagumu kutoa fedha za kinachoitwa “kusukuma mwenendo wa kesi” hupewa usumbufu kama vile kulazimishwa kufika asubuhi mahakamani wakati kesi zao zinasomwa au kusikilizwa jioni au kuahirishwa.
Mtandao wa dhuluma
Muhidini Ngulumwa aliyeshitakiwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni, alisema kuwa ni mwaka wa tatu tangu aliposhitakiwa, lakini kesi yake inatajwa na hajawahi kupanda kizimbani. Japokuwa kuna wakati huwa anamwona kortini mlalamikaji wakati wa kusikilizwa kesi huambiwa mlalamikaji huyo ana udhuru hivyo kesi huarishwa kwa mtindo huo.
Ngulumwa alisema anashangaa kwa nini mshtaki anakosekana mahakamani zaidi ya mara tano lakini kesi hiyo haifutwi huku akiendelea kutumia fedha kwa nauli.
“Kuna Mzee wa Baraza aliwahi kuniambia nikitoa fedha hiyo kesi itamalizika mapema na hukumu itakuwa upande wangu. Nilipomuuliza  kiasi gani aliniambia Sh500,000, ili agawane na wenzake na Sh200,000 apewe hakimu. Nilipomjibu sina sijamuona hadi leo na bado napoteza muda huku hatima yangu nikiwa siielewi, ”alisema Ngulumwa.
Kuruthumu Majjid alimfikisha Kituo cha Polisi Magomeni aliyekuwa akifanya naye biashara kwa madai alimdhulumu fedha. Anasema kuwa ilimlazimu kutoa chochote ili akamatwe na polisi na afikishwe kortini.
Alisema awali alipoambiwa ili mtuhumiwa akakamatwe lazima atoe fedha, alikataa. Baadaye alisalimu amri akatoa kiasi cha Sh80,000 lakini akaambiwa afikishe Sh100,000 na alipotekeleza, ndipo mdaiwa alipokamatwa na kufikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni. Hata hivyo, mshitakiwa yuko nje kwa dhamana.
“Kuanzia hapo amekuwa akiwatambia watu kuwa ataniyumbisha sana katika kesi hii, na kweli hafiki mahakamani, huu ni mwezi wa 13 tangu nimshtaki, nasota kutwa nzima, kesi imesogezwa mbele zaidi ya mara nne, nahisi wanataka nichoke kesi ifutwe kinyemela, ”alisema.
Katika Mahakama ya Mbagala-Kizuiani, Abdallah Mjata analalamika kwamba amefungua kesi ya wizi wa kuaminiana muda mrefu lakini anazungushwa kila siku uchunguzi haujakamilika. Tofauti na siku nyingine sasa anatakiwa kumaliza kesi hiyo nje ya mahakama.
“Hapa unaponiona najipanga kuweka wakili. Kesi niliyofungua inamhusu jamaa niliyempa fedha, tukaandikishiana, kila kitu ninacho. Kinachofanyika hapa sikielewi kwani sijawahi kukutana na hakimu wala kesi kutajwa, nikija nakutana na hawa wanaojifanya wazee wa baraza na kuniomba nimalizane na mtuhumiwa, mimi sitaki ndiyo maana nasubiri kusonga mbele, ” alisema Mjata.
Mjata anadai kuwa kinachotembea kortini ni fedha kwamba hiyo ni tabia ya wanaojifanya watu wa kati ambao wanaharibu sura nzima ya kesi ndiyo maana anataka kuikomesha kwa kusonga mbele. “Siishii hapa kwa sababu nina faili, nilifungua kesi hapa,” anasisitiza.
Mzee mmoja wa baraza mahakamani hapo alikiri kuwapo watu wanaojifanya washauri wa mahakama wakati si wafanyakazi na hao ndiyo huchafua jina lao kwa kuwa watu wa kati wanakula fedha ya huku na huku. Alishauri watu wanaokuwa na kesi wasipende vitu rahisi kwa kuamini misaada midogomidogo na ahadi hewa ambazo hazitekelezi.
“Watu wajue kuna matapeli wengi wanaoishi mahakamani, hao wakigundua hilo wanajiweka kati, hivyo nashauri wahusika kuwa makini, hakuna kitu rahisi wala cha mkato zaidi ya kufuata sheria, vinginevyo wakikubali kulaghaiwa kirahisi watapata shida,” alisema mzee huyo ambaye hakutaja jina lake litajwa gazetini.
Mwanamke mmoja aitwaye Halima Abdan anasema ameliwa zaidi ya Sh1.2milioni huku akiwa hajafanikiwa kumtoa ndugu yake aliyepo mahabusu Segerea.
Halima aliangukia kwenye mikono ya askari ambaye hajawahi kukutana naye bali huzungumza naye kwenye simu baada ya kuunganishwa na mzee wa baraza akidai kuwa atamsaidia kumtoa ndugu yake aliyeko mahabusu kwa mwaka wa pili sasa.
Mara ya kwanza alitaka apewe Sh800,000 kwa madai kuwa siku atakapopelekwa kortini kwa ajili ya kusikilizwa kesi yake angeachiwa lakini ikashindikana. Mara ya pili alitaka apewe Sh300,000 ili agawane na askari wa Segerea na Sh100,000 kwa ajili ya kuwapa baadhi ya watu hapa mahakamani ili atoke lakini ilishindikana pia.
Halima anasema, ndugu yake hakufanya kosa ili alikumbwa na kesi hiyo kwa kuwa mtu aliyemdhamini amekimbia, hivyo akakamatwa na ameshakaa ndani karibu mwaka na nusu.
“Nikimtazama alivyokonda anapokuja mahakamani na tunapokwenda kumwona Segerea, natamani nifanye kitu chochote kumtoa. Niliwahi kukutana na hakimu mmoja akaniambia atanisaidia lakini naye amekula fedha na kila tukimpigia simu haipatikani tena na wala hatumuoni tena,” alisema.
Mtu mwingine aliyedakwa na mtandao wa kitapeli mahakamani ni Laizer Kaanan ambaye anasema ndugu yake amewekwa mahabusu Keko zaidi ya mwaka mmoja u na wanapotaka kumtoa “wanavunwa” fedha tu na wajanja wakiwamo mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Kariakoo.
“Nimekuja nimwone, akishushwa tu naondoka najua kesi yake haitatajwa, kila siku ni hivyohivyo. Nimetoa karibu Sh600, 000, kila siku natajiwa fedha na mtu hatoki, nimechoka naona kuna watu wananifanya mrija wa kufyonza, akitoka sawa asipotoka basi, taratibu zote za dhamana nimekamilisha wamekaa nazo wao, badala ya kuzifanyia kazi wananifanya mtaji wa kuchumia, sitoi tena,” Kanaan alisema kwa masikitiko mahakamani hapo.
Katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kuna watu wa makamo huwa na makabrasha yenye nyaraka, ambao inadaiwa wanatumiwa na mahakimu na polisi kushawishi wenye mashauri watoe fedha kwa madai ya kufanikishiwa mambo yao.
“Wapo wengi; mahakimu na polisi wanashirikiana na matapeli hao; wengine wanafanikiwa kuwatoa jamaa zao mahabusu, kufuta kesi na kuwakandamiza wenye haki. Mtandao huo upo sana hapa,”anasema mzee mmoja maarufu eneo hilo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Claudiana Mbazigwa anasema kuwa ameliwa na wajanja kiasi cha Sh1.4 milioni kwa ajili ya kutaka ndugu yake aliyeko mahabusu ya Segerea atoke.
“Sasa karibu tunafilisika maana alipokuwa mahabusu Msimbazi wanaojifanya watu wa msaada walitaka tutoe Sh300,000, nikatoa. Lakini mpaka sasa ikiwa imepita zaidi ya miezi mitatu. Kila akiletwa hapa mahakamani tunaitwa kwa ajili ya kumwona angalau kwa mbali pamoja na kuonana na hao wanaodai kutusaidia kumtoa ambao tulifahamiana nao tangu akiwa Msimbazi. Hadi huku wanatutisha ili tutoe fedha, siku zinakwenda hakuna kinachofanyika,” anasema Mbazigwa.
Kisa cha kusikitisha zaidi kimempata Abdallah Mpondela aliyetoka Lindi kuja kushughulikia kesi ya ndugu yake na ikiwezekana kumtoa mahabusu. Baada ya kukamilisha taratibu zote za dhamana na kutoa Sh500,000 bado hajafanikiwa kumtoa.
“Kila nikija nakutana na wazee ambao hunieleza hali ya kesi na kunitaka nitoe fedha zaidi, labda tutafanikiwa kumtoa, nimeshatumia 980,000, hajatoka na leo alikuja hapa mahakamani..... kesi yake haijatajwa, sijui kwa nini. Hao wazee wamesema niwasubiri na sasa wamesema niwakute kwenye mgahawa wa Falcon ndiyo naenda kuutafuta,” alisema Mpondela.
Msajili wa Mahakama Kuu
Mahakimu wafawidhi wa mahakama hizo hawakupatikana na waliokuwa wanakaimu walidai hawana mamlaka ya kusemea jambo hilo zito. Lakini Msajili wa Mahakama Kuu Tanzania, John Kahyoza anasema anayetakiwa kupinga rushwa ni mtoa rushwa, hivyo watumie njia mbalimbali za kupinga ikiwamo kuwasiliana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ili kupata fedha kwa ajili ya kuwakamata wahusika.
Alisema kwa upande wao kama wasimamizi wa mahakama wana upelelezi maalumu wenye lengo la kuwafuatilia mahakimu wanaojihusisha na rushwa na wamewahi kuwakamata mara kadhaa na kuwachukulia hatua.
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah  amesema kuwa wanajitahidi kupambana na rushwa lakini wanapata tatizo la ushahidi.

NDEGE YATUA KATIKATI YA BARABARA [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]

11695008_905720136153817_3393491445109608619_n


11140244_905720162820481_1506951124395673716_n

Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani ambaye alijiongeza na kuona bora aishushe ndege katikati ya barabara ya magari iliyopo Stafford, New Jersey Marekani.

Flight

Chanzo cha ajali kinachunguzwa ila kwa ripoti iliyotoka mpaka sasa hivi ni kwamba ndege ilipata hitilafu kwenye Engine ikabidi ishushwe.
Hapa iko video pia ya tukio lote, yani ni kama bahati tu watu wote kutoka salama.

NDEGE YATUA KATIKATI YA BARABARA [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]

11695008_905720136153817_3393491445109608619_n



11140244_905720162820481_1506951124395673716_n

Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani ambaye alijiongeza na kuona bora aishushe ndege katikati ya barabara ya magari iliyopo Stafford, New Jersey Marekani.

Flight


Chanzo cha ajali kinachunguzwa ila kwa ripoti iliyotoka mpaka sasa hivi ni kwamba ndege ilipata hitilafu kwenye Engine ikabidi ishushwe.
Hapa iko video pia ya tukio lote, yani ni kama bahati tu watu wote kutoka salama.

MSANII WA ZE-COMEDY APATA AJALI MBAYA [ CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]







MKALI WA MAIGIZO YA KUCHEKESHA BONGO,DICKSON SAMSON MAKWAYA A,.K.A BAMBO ALFAJIRI YA LEO AMEPATA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI NA KUVUNJIKA MGUU WAKE WAKULIA

NA PIA KATIKA SEHEMU YAKE YA JUU YA PAJA IMEJERUHIWA VIBAYA NA KUUNGUZWA NA BOMBA LAKUTOLEA MOSHI LA PIKIPIKI

Wasanii wenzake na Bambo wakiwa na sura za majonzi mara walipofika hospitalini kumwona mwenzao Dickson Samson Makwaya a.k.a Bambo  aliyelazwa kitandani. Picha inayofuata ni dereva wa pikipiki waliyopata nayo ajali alfajiri ya leo.

. Dereva wa pikipiki aitwae Jumbe Juma kwa sasa hali yake ni mbaya na wote wamelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu.

Bambo aliyejitwalia umaarufu mkubwa miaka ya 90 akiwa na Kundi la Sanaa la Kaole ambalo lilikuwa likirusha maigizo yake kupitia runinga ya Independent Television ‘ITV’ kwa sasa alikuwa chini ya kundi la Ze Comedy ambalo hurusha michezo yake kupitia runinga ya East Africa Television (EATV).


MSANII WA ZE COMEDY APATA AJALI MBAYA [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]









MKALI WA MAIGIZO YA KUCHEKESHA BONGO,DICKSON SAMSON MAKWAYA A,.K.A BAMBO ALFAJIRI YA LEO AMEPATA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI NA KUVUNJIKA MGUU WAKE WAKULIA

NA PIA KATIKA SEHEMU YAKE YA JUU YA PAJA IMEJERUHIWA VIBAYA NA KUUNGUZWA NA BOMBA LAKUTOLEA MOSHI LA PIKIPIKI

Wasanii wenzake na Bambo wakiwa na sura za majonzi mara walipofika hospitalini kumwona mwenzao Dickson Samson Makwaya a.k.a Bambo  aliyelazwa kitandani. Picha inayofuata ni dereva wa pikipiki waliyopata nayo ajali alfajiri ya leo.

. Dereva wa pikipiki aitwae Jumbe Juma kwa sasa hali yake ni mbaya na wote wamelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu.

Bambo aliyejitwalia umaarufu mkubwa miaka ya 90 akiwa na Kundi la Sanaa la Kaole ambalo lilikuwa likirusha maigizo yake kupitia runinga ya Independent Television ‘ITV’ kwa sasa alikuwa chini ya kundi la Ze Comedy ambalo hurusha michezo yake kupitia runinga ya East Africa Television (EATV).

MANENO YA ZARI YAMLIZA DIAMOND [BOFYA PICHA KUSOMA YALIOTOKEA]





HII IMETOKEA LEO AMBAPO ZARI ALIAAMUA KUCHAFUA HALI YA HEWA KWA KUMWAMBIA MANENO AMBAYO KWA UPANDE WA DIAMOND YALIMWACHA AKIMIMINIKA MACHOZI NA KUBAKI AKILIAKWA NGUVU,

JINSI ILIVOKUA NIKWAMBA KULIKUA NA PARTY NDOGO AMBAYO ILIMUHUSSHA DIAMOND NA WEBGINE WALIOKUWEPO KATIKA MAZUNGUMZO,MAANA ALIKUA KATEMBELEWANA MARAFIKI KATIKA NYUMBA YAKE,NA NDIPO NAE ZARI AKAFIKA NA KUMWAMBIA MIMBA ALIOKUA NAYO ANAMASHAKA NA VIPIMO VYA DNA VILIVYOFANYA,NA HIO KAULI ILIMWACHA DIAMOND KATIKA HALI YA KUTOJIELEWA NA KUBAKI KUPIGA KELELE.

HALI HII ILITULIZWA NA MARAFIKI WALIOKUA KATIKA PARTY HIO NDOGO ILIOKUA INAFANYIKA KI NYUMBANI NYUMBANI,NA NDIPO ZARI AKAAMUA KUYAWEKA MAMBO SAWA NA KUTENGUA KAULI YAKE,HATA HIVYO DIAMOND ALIKUA KATIKA HALI ISIOKUA NZURI KWA MDA WOTE WATUKIO

THE AL SHABAAB MESSAGE TO THE WORLD [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]






msanii akutwa akifanya mapenzi na mbwa

VIDEO YA WEMA YA MUUMIZA DIAMOND [bofya kucheki video

WHAT MADE OBAMA TO CRY,[CLICK PICTURE TO VIEW TH NEWS]

عقاقير جديدة الإيدز المنصوص عليها ، وقراءة الصحف صور أخبار










وقد أصدرت المواطنين من مدينة يتجاسر السلام قلب التالية للحصول على معلومات تظهر أن ال
عقار قد علاج مرض مزمن في ikapatikana الإيدز.
بالإضافة إلى ذلك، فقد وجد خبراء وباحثون في جامعة العلوم والطب في معبد، الولايات المتحدة علاجا لتدمير الفيروسات (HIV) وهو أكثر دقة مقارنة مع أي وقت مضى الذهاب وجدت في الدراسات السابقة في جميع أنحاء العالم.
وقال الدكتور طارق كامل الخليلي للصحفيين الأخبار أمس في فيلادلفيا، الولايات المتحدة الأمريكية أن تكون مختلفة عن غيرها من البحوث، فقد وجدت طريقة لإزالة الفيروس قد أرسلت على الوراثي (DNA) داخل CD4 وإخراجها في نهاية المطاف والقتل.
وأضاف أن فيروس نقص المناعة البشرية يدمر ARV الموجودة في الدم والحفاظ على قيد الحياة اعمال تلك التي ذهبت بالفعل إلى CD4، مما يجعل من تفشي الفيروس إعادة عندما يتم ترك الضحية مع الأدوية.
وقال انه على الرغم من أن العديد من الدراسات لا أمل zijaonyesha كانوا يتوقعون الحصول على الحصانة، واللقاحات، لا تزال الجهود جارية للتأكد من أنها وصلت لديها فيروس نقص المناعة البشرية لا مكان في جسم الإنسان.
على جانب مخيمات صلالة من جامعة Tumaini في يتجاسر السلام وقال انه اذا والعلاج فيروس نقص المناعة البشرية تكون متاحة لندع العالم ككل سيوفر العديد من المواطنين الذين عانوا لسنوات عديدة الآن. وشدد على أن "الأساس هو عدم توقع حتى نتمكن من تحديد ما إذا كان حقا ستنجح بنسبة 100 في المئة"
وقال بي Sairice Fulko (كينوندوني) تقرير الخبراء هو الخبر السار لجميع المواطنين والعالم ككل مواطن آخر هو.

MSANII AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MBWA








DAWA MPYA YA BABU WA LOLIONDO YAWAPONYA AROBAINI UGONJWA WA UKIMWI




Hatimaye yule mzee aliekua akitabiriwa hivi sasa kaja na utabiri mwingine ambapo kaweza kuonyeshwa mti ambao akiuchemsha hutoa rangi ambayo ikichanganyika na maji huleta muonekani kama wa chai, dawa hiyo ambayo aliambiwa kwenye njonzi usiku wakuamkia jana leo hii ameweza kuitengeneza na kuwapatia watu karibu ya mia nane waliojitokeza,

ambapo kati yao hadi kufikia sasa hivi arobaini wamedhibika kabisa kupona ukimwi,hadi hivi sasa shughuli za watu zimebidi kushitishwa kwa maana ni kundi kwamakundi waliokua wakaziwakaribu wanamiminika,

ZARI ATOBOA UKWELI [click picture to view the news]








Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top