Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MTOTO ALIEBADILIKA KUA NYOKA

Ni mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu ambae aliwashangaza watu wengi kwa yaliompata, ,hii imetokea katika nchi ya india ambapo mtoto huyo ambae huzoea kulala mida ya mchana  siku hiyo hali ilikua tofauti kidogo,.

wazazi wake walikua wakiendelea nashughuli za kila siku na ndipo mtoto huyo akaingia kitandani na kuuchapa usingizi,iliwashangaza wazazi kuona mtoto wao akilala mda mrefu kuliko siku nyingine zote na ndipo walipoamua kwenda kumgusa.walipofungua shuka walikutamwnao amekwisha badilika nakua kiumbe kingine cha ajabu

mama wa mtoto huyo alipiga kelele zakuwashtua  majirani nkusababisha kufurika kwa watu ktika eneo hilo,chanzo cha matatizo hayo yanaripotiwa na marafiki mtoto huyo ambao walisema kwamba  kwa siku nyingi walikua wakimuona mwenzao kibadilika tabia na kuanza kujishirikisha na mambo yakishirikina.

hali inatisha sana maana watoto wengi wamejikuta wakishiriki bila kujuakatika hayo mambo nakusababisha baadae kupata matokeo ambayo hawakuyatarajia,mpaka sasa inaripotiwa watoto zaidi ya kumi na mbili wameripotiwa kugeuka viumbe wa ajabu


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top