Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Wafunga ndoa wakiwa uchi

Bwana na bibi harusi Gypsy Taub na Jaymz Smith walifunga ndoa katika harusi ya aina yake ambapo wanaharusi hao walikuwa uchi wa mnyama. Harusi hiyo ilifanyika katika jiji la San Fransisco, California, nchini USA na ilishuhudiwa na umati wa ndugu, marafiki, na watu wengine waliotaka kujionea. Kwa ambao umri unaruhusu, video ya harusi hiyoinaonekana hapa
Maharusi hao wakidansi uchi baada ya kufunga ndoa. Kwa ambao umri unaruhusu, video ya harusi hiyo inaonekana hapa

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top