hii imeripotiwa usiku wa kuamkia leo katika maeneo mbalimbali ndani ya nchi ikiwemo DAR,ARUSHA MWANZA KIGOMA,BAGAMOYO,,na sehemu nyingine nyingi zaendelea kuripotiwa kutokea kwa tukio hili usiku wa leo
katika maeneo ya dar imeripotiwa katika mitaa ya kariakoo na kijana mmoja ambae alisema alipokua usiku usingizini alisikia sauti kama inamuita,lakini chakushangaza sauti hio ilimfanya awe katika hali yakutoweza kufanya lolote nakujikuta akidondokea katika usingizi mzitoo na aripoamka asubuhi alikuta sehemu zake nyrti hazipo sawa,popobawahuyo alitoa masharti kadhaa yakiwamo,kwa mtu atakaemtembelea usiku na kulala nae itampasa kufanya yafuatayo,kupiga simu kwa namba zote zilizokua katika simu yake nakuwapa taarifa juu ya tukio alilofanyiwa,pili kutembea mtupu nyumba tano za jirani ambapo unapoishi nakujitangaza kama umelala nae,usipofanya hivo nikwamba itabidi usiku akutembelee tena.
katika majiji mengine imeripotiwa wanawake wanne nao wamepatwa na mkasa huohuo,na chakushangaza nikwamba alikua ajipishana dakika kama kumi kwa kila mkoa aliotembelea,na kila alipopita aliacha masharti hayohayo
Post a Comment