Msanii huyo ambae kwa mda mrefu alikua akitumia vidonge hivyo vya kuongeza makalio kwa mda mrefu,sasa hivi haliyake si nzuri maana imeonekana kwamba vidonge alivovitumia hivi sasa ni tofauti na vile vya mwanzo yani ni feki,na hadi hivi sasa vimemletea madhara kubwa sana.mpaka sasa yupo bado hospitali kwa matibabu .
Msanii huyo ambae ni alikua akifanya maigizo mbalimbali nchini hivi sasa yupo hoi sana katika hospitali moja huko south AFRICA,
MADHARA YA VIDONGE HIVYO
- Watu wengi hupenda kutumia vidonge hivyo wakizani ni fashion lakini vina adhiri sana mfumo wa ndani wamwili
- pia huaribu mfumo wa akili maana vidonge hivyo huleta uchovu kwa mtumiaji
- husababisha kutokea kwa vitobo sehemu kubwa ya mwili na hali hiyo ikiendeleea husababisha kuoza kwa sehemu hizo
Post a Comment