Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAAJABU YATOKEA KWENYE HOTELI MOJA KUBWA



hiii metokea leo hii ambapo ilibidi watu wapate namshangao nakutoa mbio za ajabu maana kilichotokea nikitu cha ajabu sana


ILIKUAJE?
 ilikua yapata mdawa saa kumi na mbili asubuhi ambapo mda mwenye asili ya kikorea alikua amepanga chumba katika hoteli hiyo,mdadahuyo aliwasili hotelini hapo jana saa nne asubuhi akiwaamesindikizwa na watu watao wanne,alipochukua  chumba katika hotili hiyo waliingia ndani na hiyo timu yKE.


Nakufikia jioni mida ya saa kumi wale wasindikizaji waliaga nakuondoka,huku mdada akiwa amebaki peke yake,cha ajabu na chakushangaza nikwamba mida ya leo saa kumi na moja asubuhi mdada huyo mwenye asili ya kikorea alitoka nje nakutaka kupatiwa breakfast katika moja ya restaurant ndani ya hoteli hiyo mashuhuri

Lakini chaajabu nikwamba muhudumu alipokwisha muhudumia nakumuachia nafasi ghafla mdada huyo alijitupa chini na kuanza kuburuzika kama nyoka,mdada ulipokua unazidi kwenda nakufikia saa kumi na mbili asubuhi mara kipande chamwili wake chachini kilionekana kubadilika na kua mfumo wa nyoka kabisa

Ndipo palitokea sitofahamu kwa wahudumu na wateja waliokua hapo nje nakusababisha sintofahamu ya hali yajuuu,na mara watu walivozidi kujaaa ghafla mdada huyo ambaye alikua kashageuka kiumbe cha  ajabu alitoweka ghafla.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top