Loading...
SHADEE NA DJ FETTY WATOA MPYA,[SHUHUDIA HII]
Hii ilitokea katika barabara moja mjini nakuwaacha watu hoi wakiwa hawatambui ninini kinachoendelea,mkasa huo umetokea katika moja ya barabara za kwenda mkoani na kusababisha watu waliokua katika magari kuacha safari zao na kuanza kuangalia huo mkasa
tulipo jaribu kumfikia muhusika mkuu tulishindwana juhudi zetu ziligongamwamba baada ya namba yake kutopatikana hewani
Powered by Blogger.
Post a Comment