Loading...
RAY C AWAWEKA HADHARINI WAFANYA BIASHARA WA MADAWA
msanii huyp kikongwe wa muziki siku ya leo ameamua kuweka bayana ni jinsi gani alivoathirika na madawaya kulevya na kusema kwamba anawashauri vijana wenzake wanaotumiia vitu kama hivyo kuachana navyo na kuendelea na shughuli nyingine za kijasiliamaali,maisha ya msanii huyo yamekua yakiyumba kutokana na matumizi ya madawa lakini sasa aamua kusemAa basi
Hata hivyo msanii huyo anasema kwamba katika kipindi hiki anamipango mingi yakurudi katika muziki aliokua akivuma kwa mda mrefuna kuwaambia mashabiki wake wakae teyari maana siku sio nyingi atatoa kibao kipya na kitochowakuna roho za wengi katika jamiii.
Powered by Blogger.
Post a Comment