Loading...
WEMA AFUMANIWA LIVE
Ilikua mida ya jioni katika mitaa ya sinza karibu na mlimani city ambapo msanii huyo alikua ameendA kufanya shopping lakini camera zetu zilimfumania liveakiwa anapiga picha pembezoni mwa hilo jengo
msanii huyo alieelezea maisha yake kwamba yamekua ya furaha baada yakupata mafanikio mengi kupitia kazi yake uigizaji
afumania akifanya rekodiya nyimbo na alipo hojiwa asema kwamba ameamu kuingia kwenye sanaa ya mziki
Powered by Blogger.
Post a Comment