Loading...
AL-SHABAAB WAINGIA MIPAKANI
Kikundi hicho kinachoongozwa na magaidi hivi punde kimeweza kupita mipaka ya somalia nakuingia katika mipaka ya nchi jirani inayopakana nayo,
taarifa zilizo hivi punde nikwamba takribani wapiganaji elfu kumi na mia tano wamefankiwa kuvukaa mpaka huo huku wakiwa na silaahaa nzito
hata hivyo jeshi la Kenya limeamua kuweka usimamizi wa hali namari ilikuhakikisha kwamba hakuna mavamizi ya kushtukiza kwaraiawake
kikundi hicho kilifanikiwa kuvukaa mipaka ya somalia nakuingia ncini kenya huku wkiwa wamevalia nguo zinazozibasura zao
Powered by Blogger.
Post a Comment