Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KIGOGO AKUTWA NA MABULUNGUTU YA NOTI BANDIA






Mmoja wa mtumkubwa sana katika jamii moja ameripotiwa leo hii kumiliki pesa zilizokua sio halali yani kwa jina lingine ni fedha ambazo hazitambuliki benki kuu nikimaanisha kwamba zimetengenezwa na kikundi cha watu fulani ili kukidhi matakwa yao

JINSI ILIVOKUA
Ilikua yapata saa mbili asubuhi ambapo kigogo huyo alitoka na kuendelea na safari zake za kila siku,huku akimuuacha mfanyakazi wa ndani yani house girl,ndipo mfanyakazi huyo wa ndani alipoamua kuingia chumba kilichokua kikimilikiwwa na bosi wake ndani ya hilo jumba lao la kifahari

yanii ilekuingia tuu akakutana na  mapesa kibao yakiwa kwenye kabati,na nyingine zilikua chini,kumbe hiyo siku bosi wake alisahau kufunga mlango

ndipo mfanyakazi huyo wandani kutaka kuchota hizo fedha na kuondoka nazo,ndipo alipochu noti moja ya elfu kumi na kuenda dukani,na hapo ndipo mambo yalipoanzia kwa muuza duka kugundua hiyo pesa aliopatiwa sio halali nakuamua kutoa taarifa polisi

Polisi walifika na kumfuata mtuhumiwa hadi anapoishi na alipo banwa ndipo akaamua kuweka ukweli bayana,kigogohuyo alikua kwenye safari zake zakila siku akiwa hana taarifa yamambo yalivobumbuluka huku nyuma.

polisi walitega mtego mpaka alipotoka kazininakurejea nyumbani,ndipo alipotiwa mbaroni,na hadi sasa yupo katika mahojiano mazito na jeshi hilo,kufikia sasa kashataja watu mia nane kama washirika wake katika hayo magendo,kwa usalama wa utafiti jina lakelimeombwa lisitajwe ilikuweza kukamilisha upelelezi,ila nimtu mmoja mkubwa mwenye nyazifa kubwa sana


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top