Hatimaye yule mzee aliekua akitabiriwa hivi sasa kaja na utabiri mwingine ambapo kaweza kuonyeshwa mti ambao akiuchemsha hutoa rangi ambayo ikichanganyika na maji huleta muonekani kama wa chai, dawa hiyo ambayo aliambiwa kwenye njonzi usiku wakuamkia jana leo hii ameweza kuitengeneza na kuwapatia watu karibu ya mia nane waliojitokeza,
ambapo kati yao hadi kufikia sasa hivi arobaini wamedhibika kabisa kupona ukimwi,hadi hivi sasa shughuli za watu zimebidi kushitishwa kwa maana ni kundi kwamakundi waliokua wakaziwakaribu wanamiminika,
Post a Comment