Loading...
MANENO YA ZARI YAMLIZA DIAMOND [BOFYA PICHA KUSOMA YALIOTOKEA]
HII IMETOKEA LEO AMBAPO ZARI ALIAAMUA KUCHAFUA HALI YA HEWA KWA KUMWAMBIA MANENO AMBAYO KWA UPANDE WA DIAMOND YALIMWACHA AKIMIMINIKA MACHOZI NA KUBAKI AKILIAKWA NGUVU,
JINSI ILIVOKUA NIKWAMBA KULIKUA NA PARTY NDOGO AMBAYO ILIMUHUSSHA DIAMOND NA WEBGINE WALIOKUWEPO KATIKA MAZUNGUMZO,MAANA ALIKUA KATEMBELEWANA MARAFIKI KATIKA NYUMBA YAKE,NA NDIPO NAE ZARI AKAFIKA NA KUMWAMBIA MIMBA ALIOKUA NAYO ANAMASHAKA NA VIPIMO VYA DNA VILIVYOFANYA,NA HIO KAULI ILIMWACHA DIAMOND KATIKA HALI YA KUTOJIELEWA NA KUBAKI KUPIGA KELELE.
HALI HII ILITULIZWA NA MARAFIKI WALIOKUA KATIKA PARTY HIO NDOGO ILIOKUA INAFANYIKA KI NYUMBANI NYUMBANI,NA NDIPO ZARI AKAAMUA KUYAWEKA MAMBO SAWA NA KUTENGUA KAULI YAKE,HATA HIVYO DIAMOND ALIKUA KATIKA HALI ISIOKUA NZURI KWA MDA WOTE WATUKIO
Powered by Blogger.
Post a Comment