Ni mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu ambae aliwashangaza watu wengi kwa yaliompata, ,hii imetokea katika nchi ya india ambapo mtoto huyo ambae huzoea kulala mida ya mchana siku hiyo hali ilikua tofauti kidogo,.
wazazi wake walikua wakiendelea nashughuli za kila siku na ndipo mtoto huyo akaingia kitandani na kuuchapa usingizi,iliwashangaza wazazi kuona mtoto wao akilala mda mrefu kuliko siku nyingine zote na ndipo walipoamua kwenda kumgusa.walipofungua shuka walikutamwnao amekwisha badilika nakua kiumbe kingine cha ajabu
mama wa mtoto huyo alipiga kelele zakuwashtua majirani nkusababisha kufurika kwa watu ktika eneo hilo,chanzo cha matatizo hayo yanaripotiwa na marafiki mtoto huyo ambao walisema kwamba kwa siku nyingi walikua wakimuona mwenzao kibadilika tabia na kuanza kujishirikisha na mambo yakishirikina.
hali inatisha sana maana watoto wengi wamejikuta wakishiriki bila kujuakatika hayo mambo nakusababisha baadae kupata matokeo ambayo hawakuyatarajia,mpaka sasa inaripotiwa watoto zaidi ya kumi na mbili wameripotiwa kugeuka viumbe wa ajabu
Loading...
Powered by Blogger.
Post a Comment