Loading...
LULU ASEMA UKWELI BAADA YA MAMBO KUBANA
Hii imetokea katika hali isiyo yakawaida ambapo aliamua kusema kwamba mambo yamekua mengi kiasi kwamba imefika wakati ameamua kuishi maisha yake mwenyewe
waandishi wa habari waliamua kuliweka hilo jambo kama lilivo maana aamua kuishi maisha yaleyale ya mwanzo,
asema kwamba maisha yamekua mazuri kiasi cha kwamba mafanikio yazidi kujaaa katika maisha yake,nakuongezea kwamba katika usanii wake mambo mengi yamekua na changamoto lakini ameweza kuukabili hali yakila namna
aandaa filamu mpya ambayo itaachiwa hivi punde nawatazamaji wake waambiwa kujiandaa kwaajili ya shoo hilo kali kuliko
asema tungojee makubwa kutoka kwake katika sanaaa.
Powered by Blogger.
Post a Comment