Loading...
NYOKA WAWILI WAKUBWA WAKUTWA NYUMBA YA IBADA
Hii nikitu cha ajabu ambacho hakija wai kutokea hapa jijini lakini ndo hivo kisha tokea,nikatika moja ya nyumba ya ibada ambapo waumini walikua wakisali kila siku lakini bila ya kujua kwamba katika hiyo nyumba ya ibada kulikua na majoka mawili makubwa ambayo kazi yake kubwa ilikua kuleta uponyaji
nyoka hao waliokuana jamii kama ya anakondawalikua katika chumba kimoja maalumu ambapo
kama mtu utakua umezidiwa basi unapelekwa huko ilikupata tiba ya magonjwa na shida zako nyingi zinakua zinatatuliwa kirahisi
ni aibu kubwa sanakatika hiyo nyumba ya ibada ambapo hii imesabisha waumini waache kwenda kusali,na kutawanyika kwa kondooo hao,lakini siri kubwa imefichuka hapo jijini dar es salaam,
Powered by Blogger.
Post a Comment