0
hii imetokea nchini marekani ambapo staa huyo wa movie kali zilizokua katika chati hivi sasa,haya yalimkuta baada ya mwanamke aliekua anampenda kumpa sheria ya kwamba kama anampenda kweli basi akubali kufutwa kama mbwa kutoka ofisini kwa mwanadada huyo mpaka mahali pake anapoishi
nahii imeacha midomo wazi watu wengi sana maananikituko ambacho hakijawaikutokea nchini humo,nahii kuleta sitofahamu nyingi miongoni mwa watu wengi
Loading...
Powered by Blogger.
Post a Comment