Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TAMBUA VYAKULA NA MATUNDA YATOAYO SUMU MWILINI,[CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]







ZINGATIA HAYA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU ILI UWE MZIMA KIAFYA NA MAISHA MAREFU.1 Usile chakula bila ratiba


2 usinywe maji baada tu ya kula(kunywa maji nusu saa kabla na baada ya kula)

3 usile chakula kingi(kula kiasi utaishi kwa raha)


4 usinywe maji mengi baada ya kula ni rahisi kupata kichomi


5 usinywe maji mengi wakati mmoja utapata maumivu katika figo


6 usiache kunywa maji utajiletea matatizo ya figo na kibofu pia kichwa kitakuuma


7 usilale na jasho au bila kuoga japo mara 1 kutwa utaugua fangas na miwasho ya hovyo

8 usishirikiane mavazi nirahisi kupata fangasi kwa njia hiyo
9 usile harakaharaka


10 usile vyakula vigumu usiku (utaota ndoto mbaya)


11 usile vyakula visivyohalali yako(utazaa watoto wenye tabia chafu)


12 usitembee hovyo usiku kuna mengi


13 usilale hovyo(usingizi mwingi ni wito wa ufukara)


14 usikae bila kuangalia unapokaa


15 wala usivae bila kuangalia(kukikung'uta) unachokivaa (wengi hung'atwa na wadudu kwa haraka zao)


16 usipende kuangalia tupu yako(utapatwa na majini subiani)

17 usikae Upweke Sehemu usiku Saa 6.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top