HII IMETOKEA KATIKA MITAA YA MJINI AMBAPO WEZI NA MAJAMBAZI WAMEANZA KUTUMIA STAILI HII MPYA YA KUWAANGAMIZA WATU WANAOWAIBIA
KATIKA HALI ISIYO YAKAWAIDA WATU WANNE WAMERIPOTIWA KUPATWA NAMAJANGA HAYO,NA KATIKA MITAA YA MJINI PIA WATU KUMI NA SITA WAMERIPOTIWA KUKUTWA NA HAYO MAJANGA
UNAPOKUA MATEMBEZINI EPUKA KUTEMBEA PEKE YAKO NA OGOPA SANA KAMA UNAONA KUNDI LA WATU WENGI WAKIKUFWATILIA NYUMA UWE MAKINI NAYO,
MAPAPARAZI WETU WALISHINDWA KUFIKA KATIKA MOJA YA MAENEO AMBAYO HUSEMEKANA HUTUMIKA SANA NA WAHARIFU HAO
Post a Comment