Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NDEGE YATUA KATIKATI YA BARABARA [CLICK PICTURE TO VIEW THE NEWS]

11695008_905720136153817_3393491445109608619_n


11140244_905720162820481_1506951124395673716_n

Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani ambaye alijiongeza na kuona bora aishushe ndege katikati ya barabara ya magari iliyopo Stafford, New Jersey Marekani.

Flight

Chanzo cha ajali kinachunguzwa ila kwa ripoti iliyotoka mpaka sasa hivi ni kwamba ndege ilipata hitilafu kwenye Engine ikabidi ishushwe.
Hapa iko video pia ya tukio lote, yani ni kama bahati tu watu wote kutoka salama.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Daily News
Back To Top