Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani ambaye alijiongeza na kuona bora aishushe ndege katikati ya barabara ya magari iliyopo Stafford, New Jersey Marekani.
Chanzo cha ajali kinachunguzwa ila kwa ripoti iliyotoka mpaka sasa hivi ni kwamba ndege ilipata hitilafu kwenye Engine ikabidi ishushwe.
Hapa iko video pia ya tukio lote, yani ni kama bahati tu watu wote kutoka salama.
Post a Comment